Habari rafiki yangu mpendwa ni matumaini yangu u mzima wa afya njema.Nisiku nyingine tena tunayo takiwa kwenye kuweka juhudi zaidi kwenye shughuri zetu za kila siku ili kuufanya mwaka 2017 kuwa mkubwa zaidi kimafanikio kwetu.
Rafiki na msomaji wa makala hii, Leo tuatafakari UKING`ANG`ANIZI
Uking`ang`anizi ni hali ya kurudia rudia kulifanya jambo moja bila kujali linakupa matokeo chanya au hasi kila wakati.
Napenda kutumia mfano wa SIMBA.
Simba ni miongoni mwa wanyama ving`ang`anizi na asiye badili mtizamo wake hasa anapo kuwa mawindoni.
1.Hachoki kuplani mbinu mpya za kukamilisha lengo lake.
2.Hakati tamaa hasa anapo kutana na changamoto.
3.Anajiamini kwa kila jambo alilokusudia kufanya.
Rafiki yangu mpendwa nawe ni vivyo hivyo unatakiwa kuwa king`ang`anizi kwa jambo lolote unalo kuwa umekusudia kulifanya na usiwe mwepesi wa kuanza jambo na unapo kutana na changamo unaacha na kuanza jambo lingine.
Kuwa king`ang`anizi kamwe usiangalie unakutana na changamoto ngapi na umeshindwa mala ngapi jambo la msingi nalakuzingatia DONT CHANGE YOUR ARTITUDE.na tambua changamoto zinakuimarisha na kukufanya utafute mbinu za kufanikisha jambo lako.
Rafiki yangu unapo fikilia kufanya jambo lolote usifikilie faida tu bali unatakiwa kujipa pia muda wakuzifikilia changamoto,Kama hutoweza kufanya ivo utakapokutana na changamoto zitakukatisha tamaa.
Dont change your artitude olways b stong like Lion in every thing that you do.
Nakutakia siku njema nayenye mafanikio makubwa sana kwako.
Wako katika mafanikio.
Errynine Tz
Chapisha Maoni