Unknown Unknown Author
Title: Mambo Matatu Muhimu Unayo Takiwa Kuzingatia Ili Kukuza Biashara na Mauzo Ya Biashara Yako
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Habari ya asubuhi ya leo mwanamafanikio mwenzangu? Umeianzaje siku yako ya leo? Ni imani yangu kubwa kuwa ni mzima wa afya njema kama iliv...

Habari ya asubuhi ya leo mwanamafanikio mwenzangu?
Umeianzaje siku yako ya leo?

Ni imani yangu kubwa kuwa ni mzima wa afya njema kama ilivyo kwangu.
Ikiwa ni asubuhi nyingine nzuri sana na yapekee kwetu ni fursa nzuri kwetu kwenda kuutumia vizuri muda tulio nao kwa uzalishaji ili tuweze kupiga hatua zaidi
Kama ambavyo imekuwa ikisisitizwa kwa kila mmoja wetu  kuwa na biashara inayo toa thamani kubwa kwa watu  ikiwa ni njia pekee na ya uhakika kwa kila mmoja wetu kufikia mafanikio makubwa hasa kifedha

Asubuhi ya leo nitapenda kushirikisha mambo matatu muhimu tunayo takiwa kuyafanya kwa viwango vikubwa kwenye niashara zetu ili kuweza kuwa na biashara zenye mashiko na viwango vikubwa vya ukuaji zaidi.

Hii ni kwa sababu ni kwenye eneo la utoaji thamani kwa njia ya biashara ndipo mtu unakuwa na uwanja mpana zaidi wa kuongeza kipato zaidi,
Hata inapo kuwa biashara yako imefikia kiwango cha mwisho kiuzalishaji bado unakuwa na nafasi kubwa ya kuanzisha biashara nyingine na hivyo kuendelea kutengeneza na kukuza kipato chako pasipo kuwa na mipaka.

Hii ni tofauti na maeneo mengine yote ya utengenezaji kipato kwamba maeneo hayo yanakuwa na kiwango kadilio cha kipato hivyo swala la kuongeza kipato kwa namna yoyote linakuwa lipo nje ya uwezo wako,
Yaani kwa mfano unapo kuwa umeajiliwa huwezi kujipangia kiwango cha kipato unacho takiwa kulipwa kutokana na juhudi unazo weka bali inategemea maamuzi ya mwajili wako na hata inapo kuwa hivyo bado haiwezi kuwa na mabadiliko ya mala kwa Mala ya kipato chako

Hivyo utaona ni kwa namna gani eneo hili la biashara linauwanja mpana sana kwetu katika  kufikia mafanikio makubwa, utajiri na hata uhuru  wa kifedha.
Karibu sana rafiki tujifunze mambo haya matatu muhimu na tuanze kuyafanyia kazi mala moja kwenye huduma na biashara tunazo fanya
Jambo la kwanza la kuzingatia ili kuweza kuwa na biashara Au huduma yenye mafanikio makubwa  na kuwa tegemezi zaidi kwa wateja wako ni KUTOA  THAMANI KUBWA ZAIDI,

Kama ambavyo tumekuwa tukijifunza kwamba msingi mkuu wa kutengeneza na kuongeza zaidi kipato ni utoaji wa Thamani kwa watu wengine,
Kwa njia hii ni wazi kwamba kipato unacho kipata sasa kinaendeana na kiwango cha thamani Au matatizo unayo tatua kwa watu wengine
Kutokana na msingi huo mkuu ni wazi kwamba iwapo unataka kutengeneza faida kubwa sana unatakiwa kutengeneza thamani kubwa zaidi na kwa kiwango kikubwa sana pia
Bila shaka ulisha pita maeneo fulani na kushanga kuona bidhaa moja ambayo kuna maeneo unanunua kwa bei ndogo Au ya chini na kuna maeneo bidhaa hiyo hiyo unanunua kwa bei kubwa zaidi
Mfano:Bei elekezi ya soda ya coca cola dukani ni tsh 600/=

Na hiyo ndiyo thamani halisi ya kinywaji hicho,
Lakini yapo maeneo kinywaji hicho utakinunua kwa Tsh 1,000 na unalipia Bila hata kuhoji juu ya ongezeko la ghalama hiyo
Na yapo maeneo pia kinywaji hicho hicho utanunua kwa Tsh 1500 hadi 2000 pasipo kuuliza Wala kuhoji ongezeko la bei.

Hii ni kutokana na kuongeneza, Au utoaji wa Thamani kubwa zaidi hapa inakuwa inategemea vitu vingi zaidi mfano ubira wa mazingira, ubora wa utiaji wa huduma n.k
Hivyo ndivyo ilivyo hata kwenye huduma za saluni Au ususi,
Zipo saluni zinazo toa huduma (thamani) kwa kiwango kidogo sana na hivyo malipo yake kuwa madogo sana kutokana na ibora wa huduma hizo,
Lakini Zipo saluni aina hiyo hiyo lakini utoaji thamani na huduma wake ni wa kiwango cha juu sana ambapo mteja anakuwa hana namna ya kuhoji ukubwa wa ghalama kwani huduma aliyo pewa inakuwa ni kubwa pia.

Hivyo rafiki yangu unapo fikiri kiongeza kipato na wateja wenye kuijali huduma unayo toa basi Anza na msingi mkuu wa kuongeza na kutoa thamani kubwa,
Jihoji mwenyewe ni kitu gani ukifanye kwa ubora zaidi ambao utakuwa na thamani kubwa kwa mteja wako na hivyo kuwa tayari kulipia thamani hiyo kubwa kwa njia hiyo
Utaweza kuongeza kipato na kuwa na wateja wenye kuijali huduma unayo toa kila wakati
Kutokana na msingi huo mkuu ni wazi kwamba iwapo unataka kutengeneza faida kubwa sana unatakiwa kutengeneza thamani kubwa zaidi na kwa kiwango kikubwa sana pia

Jambo la kwanza la kuzingatia ili kuweza kuwa na biashara Au huduma yenye mafanikio makubwa  na kuwa tegemezi zaidi kwa wateja wako ni KUTOA  THAMANI KUBWA ZAIDI.

Kama ambavyo tumekuwa tukijifunza kwamba msingi mkuu wa kutengeneza na kuongeza zaidi kipato ni utoaji wa Thamani kwa watu wengine,
Kwa njia hii ni wazi kwamba kipato unacho kipata sasa kinaendeana na kiwango cha thamani Au matatizo unayo tatua kwa watu wengine,
Mfano:Bei elekezi ya soda ya coca cola dukani ni tsh 600/=
Bila shaka ulisha pita maeneo fulani na kushanga kuona bidhaa moja ambayo kuna maeneo unanunua kwa bei ndogo Au ya chini na kuna maeneo bidhaa hiyo hiyo unanunua kwa bei kubwa zaidi
Na hiyo ndiyo thamani halisi ya kinywaji hicho,
Lakini yapo maeneo kinywaji hicho utakinunua kwa Tsh 1,000 na unalipia Bila hata kuhoji juu ya ongezeko la ghalama hiyo
Na yapo maeneo pia kinywaji hicho hicho utanunua kwa Tsh 1500 hadi 2000 pasipo kuuliza Wala kuhoji ongezeko la bei.

Hii ni kutokana na kuongeneza, Au utoaji wa Thamani kubwa zaidi hapa inakuwa inategemea vitu vingi zaidi mfano ubira wa mazingira, ubora wa utiaji wa huduma n.k
Lakini Zipo saluni aina hiyo hiyo lakini utoaji thamani na huduma wake ni wa kiwango cha juu sana ambapo mteja anakuwa hana namna ya kuhoji ukubwa wa ghalama kwani huduma aliyo pewa inakuwa ni kubwa pia
Hivyo ndivyo ilivyo hata kwenye huduma za saluni Au ususi,
Zipo saluni zinazo toa huduma (thamani) kwa kiwango kidogo sana na hivyo malipo yake kuwa madogo sana kutokana na ibora wa huduma hizo.

Hivyo rafiki yangu unapo fikiri kiongeza kipato na wateja wenye kuijali huduma unayo toa basi Anza na msingi mkuu wa kuongeza na kutoa thamani kubwa
Utaweza kuongeza kipato na kuwa na wateja wenye kuijali huduma unayo toa kila wakati
Jihoji mwenyewe ni kitu gani ukifanye kwa ubora zaidi ambao utakuwa na thamani kubwa kwa mteja wako na hivyo kuwa tayari kulipia thamani hiyo kubwa kwa njia hiyo.

Jambo la pili ni JITOFAUTISHE NA WENGINE WANAO FANYA KAMA WEWE.

Ukweli uko wazi kwamba  chochote unacho amua kufanya kwa nyakati hizi ili uweze kutengeneza kipato kinakuwa tayari kwenye soko la ushindani,
Sasa iwapo utakuwa huna kitu kinacho kutofautishia wewe na utoaji wa huduma zako basi utakuwa na changamoto kubwa sana kwa namna ya kupata mnunuzi wa huduma yako
Kwa maana ya kwamba,
Hakuna biashara au huduma utakayo anza kutoa  wewe na ikawa hakuna mtu anae fanya kama wewe
Hata ikiwa hivyo bado unaweza kuwa mwanzilishi pekeee lakini badaa ya watu kuona biashara inakulipa basi utajikuta kwenye ushindani mkubwa sana na watu wengine kwa maana ya kukuiga na wemgine kufanya kwa ubora zaidi yako na hivyo unakuwa tayari umesha jiingiza kwenye ushindani wa biashara na huduma.

Ni muhimu kuwa bora zaidi na kuwa na kitu tofautishi kinacho mfanya mfanya mteja kuachana na wauzaji wengine  na kuwa mtaja wako wewe
Kwa sababu hakuna kitu kinacho kutofautishia na wengine,
Lazima uwe na kitu kinacho kutofautisha wewe na wengine wanao fanya kama wewe na hivyo kuwa na wateja wanao ijali biashara na huduma unazo toa.

Je kipi kinamfanya mteja kuwa tegemezi kwenye biashara yako?

Je kipi kinakutofautisha wewe na wengine wanao fanya kama wewe?

Je kipi kinamfanya mtaja kuacha kununua kwa mangi na kununua kwako?

Kwa njia hiyo utaona nikwanamna gani unatakiwa kuwa bora kila siku
Kwanzia maarifa, Ujuzi, Mtindo na kila kitu kinacho husisha utoaji wa huduma zako kwa wateja wako
Pia hii inakupa nafasi zaidi ya kuongeza ubunifu zaidi wa Kile unacho kifanya,
Hivyo ni muhimu sana kutofautisha zaidi na wengine hata kama unafanya kitu Kile kile kama wanacho fanya wao
Kufanya tofauti na wengine wanao fanya kama wewe

Jambo la tatu na la mwisho kwa siku hii ya leo ni TAWALA SOKO LA BIASHARA NA HUDUMA UNAYO TOA,
Mwisho kabisa. baada Ya kuzingatia mambo hayo mawili hapo juu basi hatua inayo fuata ni kuwa Wa tawala kwenye kile tunacho fanya,
Kuwa wa falme.

Hapo inategemeana na mfumo wa utoaji wa huduma zako kwa wateja wako,
Hakikisha kama unauza vinywaji baridi basi mteja anapo hitaji kupata vinjwaji baridi basi akutafute ulipo au apate muda wa kukufikiria wewe
Hakikisha mteja yeyote anae hitaji kupata huduma bora na za viwango popote anakusikia na kukufikia au kumfikia wewe ulipo au alipo
Mfano:Iwapo kwa sasa unahitaji kubadilisha simu unayo tumia Je ni kampuni gani unayo ifikiria kununua simu yake?

Je ni kampuni gani unapo kuwa unahitaji kununua unga unafikiria kununua Unga wake?
Kama ilivyo kwa brand mbalimbali za vinywaji, vyakaula na hata magari na bidhaa nyingine

Je ni kampuni gani unapo fikiria kibadilisha gani unafikiria kununua gari lake?

Ni kampuni gani unapo fikiri kununua vifaa vya ujenzi unafikiri kununua vifaa vyake?

Kama kuna kampuni unakuwa unaifikiria kupata huduma zake kila wakati basi hiyo ndiyo kampuni inayo tawala katika utoaji wa huduma hizo japo kunakuwa na makampuni mengi yanayo toa huduma kama hizo,
Hivyo ndivyo ilivyo kwa huduma zetu na biashara zetu,
Hakikisha mteja anapo hitaji kupata huduma bora za ususi basi anakutafuta na kukufikitia wewe
Hakikisha mteja anapo hitaji kupata huduma bora za kutengeneza gari lake basi anakusikia au kukufikiria wewe
Kwa njia hiyo ni lazima uwe mfalme wa hicho unacho wauzia wengine
Hakikisha unakuwa mtawala kwenye hicho unacho fanya kila siku na kila wakati kuwa bora zaidi na zaidi
Inahitaji muda, nguvu na maarifa na uvumilivu mkubwa sana na sio kitu kirahisi hivyo inahitaji juhudi kubwa sana,Fanyia kazi haya matatu muhimu,
Na mwisho karibu kwa maswali na nyongeza zaidi ili kuweza kujifunza zaidi.

Kocha na mshauri wako
Ernest Lwilla
0715222989/errynine6@gmail.com
Karibu sana rafiki

About Author

Advertisement

Next
This is the most recent post.
Previous
Taarifa za zamani

Chapisha Maoni

 
Top