Unknown Unknown Author
Title: BE YOU.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
    Habari rafiki na mwanamafankio kupitia kujifunza na hata kwa vitendo nimatumaini yangu nimzima wa afya njema.         Rafiki yangu mp...

    Habari rafiki na mwanamafankio
kupitia kujifunza na hata kwa vitendo nimatumaini yangu nimzima wa afya njema.
   
    Rafiki yangu mpendwa katika safari yako ya mafanikio jambo la kwanza na lamsingi ni KUWA WEWE ili ufikie malengo yako na maono yako lazima UWE WEWE kwa lugha nyepesi naweza kusema Ujikubali mwenyewe.

      Rafiki sababu kubwa ya kuwa wewe kwenye kila jambo unalofanya ni hii #Utakamilisha malengo makubwa uliyo jiwekea kupitia biashara ndogo unayo ifanya.

      Mfano;Rafiki yangu kuna watu wanafanya biashara ndogo ndogo huku wakizidharau biashara hizo nakuona si sehemu yao.
      Rafiki kunawatu wapo katika sehem mbalimbali za shughuli zao na hawana uhusiano kabisa na shughuri hizo kwababu moja tu sio sehem yao,Sasa utapataje mafanikio kutoka kwenye biashara ambayo unaidharau?Hapo rafiki lazima UWE WEWE ndo biashara yako ikuinue kuelekea hapo unapo ona ni levo yako.

   Biashara zote ndogo ndogo ndo zenye uwezo wa kukuinua kwasababu.
1.Inahitaji mtaji mdogo
2.Unatoa huduma,
3.Unawafikia wateja walipo n.k
Tofauti kabisa na biashara kubwa ambazo zinaendeshwa kwa mtaji mkubwa zinategeme mteja aifate.

     Mwisho kabisa niseme kama unataka safari yako iwe yamafanikio lazima UWE WEWE katika shughuli zako za kila siku bila kubadilika usitegemee mafanikio kutoka kwenye hicho unacho fanya sasa.

       Nikutakie siku njema na yenye mabadiliko makubwa yakawa wewe katika biashara yako.

Tuma ujumbe mfupi BIG KEY OF SUCCESSFUL 2017 kwenda namba 0715222989
Email.errynine6@gmail.com
Uunganishwe na group la WhatsApp kwa mafunzo zaidi.

           Wako rafikio katika mafanikio.

    Ernest Lwilla
              
                Karibu.

   

About Author

Advertisement

Chapisha Maoni

 
Top