Habari rafiki yangungu nimatumaini tu utakuwa mzima was afya njema.
Nisiku nyinhine tena na ya neema kwetu ambayo hutakiwi kuipotrza bila kuweka juhudi zitakazo leta mabadiliko makubwa ya nafanikio mwaka 2017.
Katika hatua kubwa yakuufanya mwaka kuwa mkubwa kwa mafanikio nilazima na nimuhimu zaidi uupe vipao mbele vitakavyo kuongoza katika safari yako ya mafanikio 2017.
Mfano:Mimi kwa mwaka 2017 vipambele vyangu nimetegeneza mafiga matatu yaani.
1.Dini
2.Maarifa
3.Uchumi
Hizo ni nguzo nitakazo zitumia kuufanya mwaka kuwa wamafanikio zaidi.
Dini 🌅
Kwasehemu kubwa neno la Mungu ndo linalo ongoza maisha yangu kwakujifunza na kuzingatia zaidi kwani Vitabu vitakatifu vimeainisha mambo ninayo takiwa kuyafanya ili kuwa karibu zaidi na Mungu wangu.Vitabu hivi pia vinaleta nidhamu juu yakutunza/kukuza uchumi wangu kwakuto yafanya yote yaliyo chukizo mbele ya Mungu wangu.
2.Maarifa📄
Binafsi naamini mafanikio makubwa katika kujifunza zaidi na hapa nimewek masaa 3 kila siku yakujifunza na kupata Maarifa mapya,Masaa 2 kuandaa makala zenye mafunzo kwa wenzangu kama wanavyo fanya watu mbalimbali kwangu.
Masaa huku masaa yote yanayo baki naweka Juhudi zaidi katika kukuza kipato changu binafsi na hata kwa jamii inayo nizunguka.
3.Uchumi💵
Hapa ndo nimeweka muda mwingi zaidi kwani nimejiwekea malengo makubwa katika kukuza uchumi wangu zaidi kufikia kiwango cha 10m ukitofautisha na mwaka wa jana ambapo nilifikia kiwango cha 3.7 m.
Hapa nimesha anza hatua za awali za kufungua ofisi ndogo ndogo ambazo nitatengeneza nafasi za kazi kwa vijana wenzangu na kwangu pia.
Rafiki yangu hiyo ni kunihusu Ernest Lwilla nawe pia unaweza kujiwekea vipao mbele vitakavyo kuongoza mwaka 2017 na kuwa mkubwa zaidi kiuchumi kwako.
Nikutakie mpangilo mzuri wa Vipao mbele vyako vitakavyo kwenda kuwa dira yako kuelekea mafanikio makubwa 2017.
Tuma ujumbe BiG KEY OF SUCCESSFULL 2017 kwenda 071522989
Email. errynine6@gmail.com
ili uunganishe na group la WhatsApp kwa mafunzo zaidi.
Wako rafiki katika mafanikio 2017
Ernest Lwilla
Chapisha Maoni