Habari rafiki na mwanamafanikio kupitia ukulasa huu wa Ufunguo wa mafanikio,Nitumaini langu ni mzima wa afya njema kama ilivyo kwangu.
Rafiki ni siku nyingine nzuri sana kwetu kwenda kuweka jitiada zaidi kwenye shughuli zetu tulizo zichagua katika safari ya mafanikio yetu,Rafiki ninamaswali mawili muhimu kwako na kwangu pia
1.Je tunauhuru wa muda?
2.Je tunauhuri wa kipato?
Haya ni maswali ambayo Mimi na wewe tunapaswa kujiuliza katika maisha yetu.
Rafiki kuna watu wengi sana wana Uhuru wa Muda na wamekosa mambo ya kufanya katika maisha kutokana na Uhuru huo,Watu hawa muda wote hawana shughuri maalumu za kufanya zinazo waingizia kipato na mala nyinginr huwa ni watu wakujipa sababu kila siku na kujipa majukumu ambayo yanawapotezea muda wao MF;Stori za vijiweni,Kuangalia luninga muda wote,Kuangalia mpila muda wote Nk hawa ni watu ambao hufanya jambo lolote ilimladi tu waonekane wako bize.
Pia kuna watu wanakipato cha kutosha lakini hawana muda hata sekunde ya kufanya mambo ya ziada au nyongeza kwenye familia zao hii mala nyingi sana huwa ni kwa waajiliwa wa sekta nyeti katika taasisi mbalimbali,Mf:Kunawa baadhi ya waajiliwa wanalipwa pesa nzuri kiasi kwamba pesa linakuwa si tatizo kwao lakini hawapati muda hata siku ya wikendi na kukaa na familia zao hawa kimsingi huwa wana kuwa bize.
Majukumu hayo ya kikazi huwafanya kuwa bize zaidi hata pesa zao zinakuwa hazina maana katika maisha yao.
Rafiki Uhuru wa muda /Uhuru wa kipato ni vitu viwili vinavyo shilikiana katika kuleta maana ya MAISHA BORA,
Unatakiwa kuwa na kipato kisha muda wa kukaa na familia yako.
Unatakiwa kuwa na kipato kisha muda wa kukaa na familia yako.
Sasa kunawatu kukutana na familia zao ni hadi mwishoni mwa mwezi na wengine ni mwishoni mwa mwaka ivi hapo maana ya Maisha bora inakuwa watu tena,Matumizi ya pesa yako kwa familia yako yanakuwa wapi?Uhuru wa muda unakuwa wapi?
Mwisho,Rafiki ili uweze kuwa na hivi yote Uhuru wa muda na Uhuru wa kipato ni lazima ukubali kuwa Boss mwenuewe wa maisha na majukumu yako,Ikiwa utakubali asilimia 100% ya maisha yako kuwajibikiwa na boss ujue huna Maisha bora ila unaisha bora maisha yanaenda,Rafiki nitapenda zaidi ufanye chaguo litakalo kufanya uwe boss mwenyewe yaani 100% ya majukumu yako uichukue wewe mwenyewe.
Tuma ujumbe mfupi BIG KEY OF SUCCESSFULL 2017 kwenda 0715222989/Email:errynine6@gmail.com
Uunganishe na group la WhatsApp BURE.
Au unaweza kulike Facebook Page yetu UFUNGUO WA MAFANIKIO.
Wako rafiki katika mafanikio.
Ernest Lwilla
Chapisha Maoni