Unknown Unknown Author
Title: UMEZUNGUKWA NA NANI?
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
  Habari rafiki na msomaji wa makala zetu kupitia mtandao huu wa Ufunguo wa mafanikio,Nitumaini langu kuwa ni mzima wa afya njema kama ilivy...

  Habari rafiki na msomaji wa makala zetu kupitia mtandao huu wa Ufunguo wa mafanikio,Nitumaini langu kuwa ni mzima wa afya njema kama ilivyo kwangu.
  Rafiki ni siku nyingine nzuri sana kwangu na kwako pia ambayo tukiitumia vizuri na kwa  juhudi zaidi katika shughuli zetu itachangia kuleta mabadiliko makubwa katika maisha yetu.

  Rafiki mafanikio uliyo nayo au unayo tegemea kuya pata yatachangiwa zaidi na watu walio kuzunguka yaani Familia,Rafiki,Ndugu wengine na wengine wengi ikiwa utawatambua vizuri na kuwa weka katika makundi maalumu katika maisha yako.
  Walio kuzunguka kwa zaidi 100% hawa wanaweza kuchangia kufikia mafanikio au kuto yafikia mafanikio kabisa maishani kwako.
  
   Rafiki ni vema kufahamu aina ya marafiki chanya ulio nao ili wakusaidie na kuku sukuma kuyafikia mafanikio yako mfano:Una marafiki ambao tayari wamesha fanikiwa na ambao bado hawajafanikiwa lakini wanamawazo mapana zaidi.

    Watu hasi daima wa kwepe kwenye safari yako ya maisha,Rafiki siku chache baada ya kuuanza mwaka 2017 niliweza kumshilikisha mipango yangu ya mwaka Baba yangu Mzazi baada yakumwambia aliniambia malengo hayo ni makubwa sana hivyo huwezi kuya timiza!,Na hata ingekuwa ndio ungeyatimiza kwa kipato cha kazi gani unayo ifanya,Nilicho mjibu nikwamba Mzee achana na Mimi tukutane kwenye repot ya mwaka yaani mwisho wa mwaka.

   Rafiki watu hawa wapo wengi sana mtu anapo taka kukuuzia mawazo yake madogo shituka na achana nae kwani hakufai kwenye safari yako ya mafanikio.Kunamarafiki wengi huanza safari pamoja lakini unapo onyesha kitu cha tofauti kwako katika mafanikio wanakuwa maadui zako Watu hawa waepuke hawakufai.
    Rafiki ni vizuri kutengeneza team kazi inayo endana na maono yako na walio kuzidi kwako kimafanikio hata kimaono pia,Waogope watu wanao sema kitu hicho nikikubwa hivyo hauta weza kukifanya.

  Mwisho tengeneza team imara itakayo endana na kasi yako kimafanikio.

Nikutakie siku njema na yenye mafanikio makubwa zaidi kwako

   Tuma neno BIG KEY OF SUCCESSFULL 2107 kwenda 0715222989 au Email:errynine6@gmail.com
Uunganishwe na WhatsApp group kwa mafunzo zaidi BURE.
Pia unaweza kulike page yetu Facebook*Ufunguo wa mafanikio

   Wako rafiki katika mafanikio
             Ernest Lwilla

About Author

Advertisement

Chapisha Maoni

 
Top