Habari rafiki na msomaji wa makala zetu kupitia mtandao huu wa Ufunguo wa mafanikio.,Nitumaini langu ni mzima wa afya njema kama ilivyo kwangu.
Rafiki ni siku nyingine nzuri ambayo unatakiwa kuweka juhudi zaidi zitakazo badili safari yako ya mafanikio hatie mae kutoka kwenye hali uliyo nayo na kwenda kwenye hali iliyo bora zaidi.
Rafiki Mafanikio makubwa hayategemei Elimu kubwa wala Vyeti ya Elimu ya juu,Rafiki kwani ni wasomi wangapi ulio waona wamefanikiwa kutokana na ukubwa wa Elimu zao?Rafiki ni waajiliwa wangapi ambao wamefanikiwa kutokana na Elimu na Ajila zao?
Wasomi wengi hutegemea Ukubwa wa Elimu zao katika safari yao ya mafanikio kitu ambacho si kweli katika maisha ya kufanikiwa,Wasomi wengi hutegemea baada ya masomo yao hutegemea kutumia FOMULA kwenye maisha ya kufanikiwa jambo ambalo sio kweli.
Rafiki yangu mpendwa Unatakiwa kufahamu kuwa mafanikio haya tegemei Elimu yako kubwa Wala maisha hayana FOMULA ya kutumia ili ufanikiwe,Rafiki Mafanikio ni Udhubutu,Jitiada,Maarifa & Kupambana na changamoto utakazo kutana nazo katika shughuli za kila siku.
Watu wengi ambao hawana Elimu kubwa ndo hufanikiwa kwa sehemu kubwa kwasababu ya udhubutu wao unao ambatana na kujiamini kwenye kile wanacho fanya.
Hapo juu kunasehem nimeandika juu ya wasomi wengi kutegemea kutumia Fomula kwenye maisha yao ya kufanikiwa hii hupelekea wasomi hao wengi wanapo kosa FOMULA ya kutumia ili wafanikiwe mala nyingi hukata tamaa na kuona bora kuendelea na kutafuta na kutumikia ndoto za watu wengine kupitia ajila zao.
Watu hawa mala nyingi huvumilia changamoto nyingi sana za vipato vyao hasa mishara yao kuwa midogo sana na hivyo kuto kidhi mahitaji yao ya maisha na mala nyingi tumaini lao kubwa huwa katika Pesa za Mafao ya kustaafu kwao.
Rafiki mafanikio yanahitaji Maarifa na uyatumie Maarifa hayo,Mafanikio yanahitaji vitu vya ziada sana Eg shughuli zote zinazo husisha Ujasiriamali ufugaji,biashara ndogondogo,kilimo na mengine mengi sana na sehemu hizo ndizo utakuta watu wengi wenye mafanikio zaidi.
Rafiki kunawatu wenye Elimu kubwa lakini Elimu hizo hazijawasaidia na kuishi kwa shughuli alizo jifunza kwa muda mfupi katika maisha mfano *Mafunzo ya wiki mbili ya ufugaji yana mpa mtu mafanikio,
Mafunzo ya wiki moja ya kilimo cha kisasa mbogamboga yana mpa mtu mafanikio,Mafunzo ya siku tatu ujasiriamali yana mpa mtu ubora wa maisha*
Rafiki Maarifa ni kitu kikubwa zaidi katika mafanikio yako.
Rafiki Tafuta Elimu na Maarifa yatakayo kufikisha unapo taka kufika na sio vyeti vita kavyo kufanya uwe mtumwa mpaka uzee wako pasipo mafanikio
Tuma neno BIG KEY OF SUCCESSFULL 2017 kwenda 0715222989/Email:errynine6@gmail.com
Uunganishe na group la WhatsApp kwa mafunzo zaidi BURE.
Pia unaweza kulike Facebook page Ufunguo Wa Mafanikio tuendelee kuwa pamoja zaidi.
Nakutakia siku njema na yenye mafanikio zaidi
Wako rafiki katika mafanikio
Ernest Lwilla
Chapisha Maoni