Unknown Unknown Author
Title: NAFASI YAKO KATIKA JAMII YAKO.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
     Habari rafiki na mwanafamilia wa mtando huu wa Errynine Tz,Nitumaini langu ni mzima wa afya njema kama ilivyo kwangu.    Rafiki nisiku...

     Habari rafiki na mwanafamilia wa mtando huu wa Errynine Tz,Nitumaini langu ni mzima wa afya njema kama ilivyo kwangu.
   Rafiki nisiku nyingine tena ambayo tumeipata kwa neema kubwa ya Mwenyezi Mungu kwa kusudi la kutengeneza nafasi yetu kubwa kwa jamii yetu.

      Rafiki awali yayote tunaulazima wa kujipa maswali muhimu

Mfano:
           Nafasi yako niipi katika jamii yako?
          Unaitumiaje nafasi yako?

Rafiki awali yayote nianze kwa mfano huu ambao naamini utakupa picha kubwa sana katika kuitambua nafasi yako kwa jamii yako.

    Siku chache zilizo pita baada ya kuuanza mwaka 2017 Jamii yangu ilimpoteza Ndugu (Mr Sanga) ambae kwa uhai wake aliitumia vizuri nafasi yake,Msiba huo ulikuwa na watu wengi sana kuliko misiba yote niliyo wai kuudhulia,
     Msafala mkubwa ulio niumiza nakunipa maswali mengi sana nipale ilipo anza safari yakwenda kuupumzisha mwili wake.
   Baada ya mazishi kuisha kama ilivyo kawaida michango mbalimbali ilianza kutolewa,
      a)Wapangaji nyumba kubwa ya Tunduma.
       b)Wapangaji wa nyumba kubwa mlowo,
        c)Wapangaji wa nyumba zote za kuishi
         d)Madreva wa magari yake,
          e)Wapangaji wa uwanja mkubwa Vwawa.

    Rafiki mpaka hapo nilikuwa nimeanza kupata majibu ya maswali yangu niliyo kuwa nikijiuliza na ninaimani umepata kitu hapo.

    Rafiki Mzee Sanga aliitumia vizuri nafasi yake wakati wa uhai wake

       Rafiki yangu na msomaji wa makala hii unaitumiaje nafasi yako,Unaitumiaje siku hii ya leo kugusa jamii yako,
Watu wangapi wanautizama msaada wako kwenye maisha yao.

    Rafiki nafasi yako nikubwa sana ikiwa utaitambua na kuipa thamani kubwa katika safari yako ya mafanikio,
    Rafiki nafasi yako unaitumiaje katika kuweka alama ya wakati wa uhai wako,
    Rafiki tumia nafasi uliyo nayo na kuwa msaada mkubwa kwa jamii yako,
    Itumie na weka juhudi kubwa leo ili kesho yako iwe na msaada mkubwa kwa jamii yako,Weka maono makubwa leo yatakayo igusa  jamii yako.

     Mwisho naomba niseme TIME TIME BE FOR TIME TO TIME YOU rafiki ifanye leo yako niyashida ukiiteneza nafasi yako nzuri ya kesho,

Niku takie siku njema na yenye mafanikio makubwa kwako.

   Tuma neno BIG KEY OF SUCCESSFUL 2017 kwenda 0715222989/Email.errynine6@gmail.com
Uunganishwe na group la WhatsApp kwa mafunzo zaidi

Karibu

Wako rafiki katika Mafanikio

Ernest Lwilla.
   

About Author

Advertisement

Chapisha Maoni

 
Top