Unknown Unknown Author
Title: TUMIA NJIA HIZI KIJANA WASASA KUJIHUSISHA NA KILIMO BIASHARA:
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
   Habari rafiki na mwanamafanikio mwenzangu kupitia mtandao huu wa Errynine Tz,Nimatumaini yangu ni mzima wa afya njema  kama ilivyo kwangu...

   Habari rafiki na mwanamafanikio mwenzangu kupitia mtandao huu wa Errynine Tz,Nimatumaini yangu ni mzima wa afya njema  kama ilivyo kwangu.
  
     Rafikiki ni siku nyingine tena na karibu kwenye somo letu ikiwa shabaha ni moja kupambana dhidi ya umaskini kwenye kaya zetu.
    
    Rafiki kilimo sasa kimekuwa ndo ajila na fursa kubwa sana kwa vijana wengi hasa wanao penda zaidi kujiajili wenyewe(Kilimo biashara)
Tofauti na miaka  iliyo pita ambapo kilimo kilikuwa ni kwatabaka fulani na umri fulani ambapo kilichukua nafasi kubwa sana Vijijini.
      
     Rafiki zifuatazo ni njia 5 ambazo unaweza ukajihusisha na kilimo biashara popote Nchini.

    1.Kuwa mzalishaji(Mkulima).

Hii ni fursa kubwa sana kwa vijana ambao wapo vijijni/Mjini wenye maeneo ambayo wanaweza kuyatumia kwa kilimo au kukodi.
     Hapa kijana atazalisha mazao nakuwa uzia watumiaji maeneo yote vijijini na hata mjini.
    Kupitia uzalishaji huo anaweza kutengeneza nafasi za ajila wa vijana wengine ambao wenda hawajapata nafasi ya kulima wenyewe.

   2.Kuwa muuzaji (Mazao)
Rafiki unaweza kujihusisha na kilimo biashara kwa kununua mazao kwa wazalishaji na kuwauzia watumiaji kwa bei ya faida zaidi.
     Hii inaweza kufanywa na watu wa mjini na vijijini,
Rafiki mfumo huu wa kunua na kuuza unaweza kufanya na watu wote na maeneo yoyote ambapo shughuli za uzalishaji zinafanyila.

    3/Kuwa msafilishaji wa mazao toka eneo yanapo zalishwa hadi sokoni ambapo yatauzwa kwa ghalama ya faida tofauti na eneo yalipo zalishwa mfano:Unanunua mahindi kijijini kwa Tsh 4000 debe na unasafilisha hadi mjini ambapo utauza debe kwa Tsh 7000 hapo utapata faida 3000 kwa kila debe.

    4.Kuwa muongezaji dhamani wa bidhaa za kilimo,
          Mfano:
#Unaweza kununua viazi kisha unaviandaa Clips(Viazi vya paketi),Chipsi nk
#Unaweza kunua mahindi na kuyaandaa vizuri kisha kusaga unga na kuuza kwa kwa kilo.
    Hii inawafya pia na watu wa sehem zote vjijini na mjini.

   Rafiki kilimo nikipana sana pia unaweza kufanya kilimo biashara kwa kuuzaji wa pembejeo za kilimo,Kutengeneza mbegu,Kutoa elimu ya kilimo kwa wazalishaji n.k
   
 

      Tuma ujumbe mfupi BIG KEY OF SUCCESSFULL 2017 kwenda 0715222989/Email.errynine6@gmail.com uunganishe na group la WhatsApp kwa mafunzo zaidi.

    Karibu

Wako katika mafanikio

  Ernest Lwilla

About Author

Advertisement

Chapisha Maoni

 
Top