Unknown Unknown Author
Title: ULIPO SASA.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Habari rafiki na mwanamafanikio mwenzangu kupitia ukulasa huu wa Errynine Tz,Nimatumaini yangu ni mzima wa afya njema.     Rafiki nisiku nj...

Habari rafiki na mwanamafanikio mwenzangu kupitia ukulasa huu wa Errynine Tz,Nimatumaini yangu ni mzima wa afya njema.
    Rafiki nisiku njema na nzuri sana kwetu ikiwa tutaenda kuweka juhudi zaidi kwenye shughuri zetu za kila siku ili kuufanya mwaka 2017 kuwa mkubwa kwetu kimafanikio.

    Rafiki wakati mwingi sana ukiangalia ulipo waweza kuona sio mahali sahihi hii nikwasababu uvivu umetawala zaidi katika akili zetu.

     Hapo ulipo ulisha wahi kujipa maswali kama haya, Mimi ninani?
Kwanini nipo duniani? Ikiwa ulisha juliza majibu ya maswali hayo ndo dira halisi ya kuiwekea juhudi zaidi.

     Wengi tunapata nafasi yakuwaangalia watu fulani katika nafasi zao nakuona wao ndo wapo sehem sahihi zaidi huku tukijipa sababu ambazo si zalazima kwetu kama wanamafanikio.

    Rafiki ulipo ni mahali sahihi isipo kuwa fikra na mtizamo ulio nao juu ya ulipo ndo sio sahihi,Kala ngapi umeshuhudia wengi wakisema biashari furani hailipi?Wakati huo huo kunawatu walio fanikiwa kupitia biashara hiyo hiyo.

   Rafiki uwa najipa maswali mengi sana napo mwona mtu mwenye umri wa miaka 50 akijishughurisha na biashara kama ya karanga,Anafamilia na mambo mengine mengi ambayo anayaendesha kupitia biashara hiyo,Hapo ndipo naona umuhimu mkubwa wa sehemu niliyopo nakuweka misingi imara zaidi kuelekea mafanikio yangu.

Mwisho rafiki haijalishi unafanya kitu gani? Faida yake ni ndogo kiasi gani? Jamii inakutizameje ? Familia wana kusemea yapi ? Lakini kama wewe ndani yako utakuwa na kitu ndani yako kinacho kusukuma kufanya hilo amini hiyo ni sehemu sahihi kwako,Ikiwa utafanya kwa kuto tambua umuhimu wa nafasi hiyo basi haina umuhimu wakuendelea kufanya hicho unacho kifanya,

Nikutakie siku njema.

Tuma neno Big Key Of Successful 2017 kwenda 0715222989/Email:errynine6@gmail.com
Uinganishe na group la WhatsApp kwa mafunzo zaidi.

Wako rafiki katika mafanikio.

Ernest Lwilla

About Author

Advertisement

Chapisha Maoni

 
Top