Habari rafiki na msomaji wa makala hizi kupitia mtandao huu wa Ufunguo wa mafanikio ni tumaini langu ni mzima wa afya njema kama ilivyo kwangu.
Rafiki ni siku nyingine tena muhimu sana kwetu ikiwa tutaitumia vizuri kwa kuweka juhudi katika shughuri zetu.
SUCCESS hili ni neno ambalo kila kukicha yaani jua likizama na kuchomoza kama unamalengo na ndoto kubwa lazima ulifikilie lakini ni vigumu sana kulifikia ikiwa utalitamka/kuliwaza pasipo vitendo neno hill linaletwa/kufikiwa kirahisi na muunganiko mkubwa wa vitu vifutavyo.
THINK(Waza)
Rafiki bila shaka umesha wai kuwaza jambo Fulani ambalo ungelichukulia maamuzi lingekuwa na matokeo makubwa sana kwenye safari yako ya mafanikio.
Rafiki wazo ni kitu cha thamani kuliko kitu chochote kwani ndo kiini cha mafanikio yako,Rafiki pindi upatapo wazo au ufikili juu ya kitu ni muhimu kuitafakari vizuri
IDEA(Wazo)
Baada ya kuwaza jambo fulani ambalo unakuwa unaimani au uhakikika nalo hapo nafasi itakayo fuata ni kutafsiri Wazo hilo njinsi gani utalianza na njinsi gani utalifanya kwa utofauti na wengine kwani tunaamini hilo wazo inawezekana wengi washa lifanya lakini ni kwa mfumo tofauti na wewe ulivo liweka wazo lako baada ya kupata wazo
Try(Jaribu)
Hapo lihamishe wazo ulilo nalo kuwa kitu halisi yaani kifanyie majaribio na kuona njinsi gani kinakuwa kwa picha halisi hapo unaweza kuanza utekelezaji wa majaribio ya wazo lako baada yakuona matokeo ya jaribio hilo naimani utakuwa umejifunza kitu fulani kutoka kwenye jaribio la matokeo hayo ya hamishie
DO(Fanya)
Katika hatua hii,hapa unakuwa umeanza kulifanya wazo katika uhalisia zaidi ambapo hatua hii itakupa matokea mazuri au mabaya Matokeo hayo hayo yawe ni sehem kubwa ya kuliimarisha wazo lako na wewe mwenyewe katika kuli
DO AGAIN(Kulifanya tena)
Naomba nieleweke vizuri hapa katika hatua hii ya kufanya tena tumia uzoefu ambao umesha upata kwenye hatua iliyo pita yaani matokeo ya hatua iliyo pita yakuimarishe na kuboresha kile unacho kifanya bila shaka utakuwa muda mwingi unajifunza kile unacho kifanya kisha
AND AGAIN(Fanya tena na tena)
Rafiki katika safari yako ni muhimu kujua kuwa kurudia rudia kulifanya jambo moja ndo hatua ya msingi ili kufikia wazo lako kwa kiwango kikubwa pia jua mafanikio ni matokeo ya kufanya jambo Mara kwa mara kisha
KEEP DOING(Endelea kufanya)
Endelea kufanya pasipo kuangalia matokeo ni mazuria au mabaya kwani unatakiwa kufahamu pande zote za matokeo ni muhimu katika safari yako hasa unapo pata changamoto ziku imarishe zaidi baada ya kuendelea kufanya ili kufikia hatua ya
SUCCESS
Yaani Think,I dea ,Try,Do,Do again,And again,Keep doing Result must will be SUCCESS
Tuma ujume mfupi BIG KEY OF SUCCESSFULL 2017 kwenda 0715222989/Email:errynine6@gmail.com
Uunganishe na group la WhatsApp kwa mafunzo zaidi.
Wako rafiki katika mafanikio
Ernest Lwilla
Chapisha Maoni