Unknown Unknown Author
Title: MAFANIKIO NI HAKI YA KILA MMOJA ALIE NA MAMBO YAFUATAYO.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
    Habari rafiki na mwanamafanikio mwenzangu kupitia mtandao huu wa Ufunguo wa mafanikio,Nitumaini langu kuwa ni mzima wa afya njema kama i...

    Habari rafiki na mwanamafanikio mwenzangu kupitia mtandao huu wa Ufunguo wa mafanikio,Nitumaini langu kuwa ni mzima wa afya njema kama ilivyo kwangu
  Rafiki ni siku nyingine ambayo nzuri sana kwetu ikiwa tutaitumia kwa kuweka juhudi zaidi kwenye shughuri zetu za kila siku.

  Mafanikio ni wimbo unao imbwa kila wakati na kila mahali lakini lazima tujue mafanikio yana mosingi yake na ili uweze kupata mafanikio lazima uwe na mambo fulani yatakayo kufikisha kwenye mafanikio yako,
    Mafanikio ni haki ya kila mmoja alie tayari kuyatafuta na kuya hangaikia katika maisha yake lakini mafanikio hayo ni kwawote walio na mambo yafuatayo

           NIDHAMU
Mafanikio yaliyo ya kweli yanategemea nidhamu kubwa sana Mafanikio yanategemea nidhamu yako kwa watu walio kuzunguka,Mafanikio yanategemea ni dhamu kwa kwa kipato kinacho ingia na hata kinacho toka,
  Ukosefu wa nidhamu umekuwa kikwazo cha wengi kuto fikia nafasi zao za kimafanikio na badala yake imekuwa tofauti na matalajio ya watu wengi kukwamishwa kimafanikio.
          
            UADILIFU
   Kufanya kazi kwa kutegemea macho ya watu ni jambo linalo mfanya mfanyaji wa jambo kuto fanya kazi kwa uadilifu ila ni kwakuangalia wacho ya wanao mtizama yanahitaji nini,
    Uadilifu ndo kipimo kikubwa cha umakini na ubunifu wa mtu katika shughuli yoyote, Uadilifu unategemea zaidi kukijua kitu unacho kifanya,Kukifurahia kitu unacho kifanya,Pasipo uadilifu hiyo kazi kamwe huto ona mafanikio yake.

           JUHUDI
   Juhudi ndo nguzo kwani kufanya kazi wote wanafanya lakini ni kwakiwango gani na muda gani kitu gani cha ziada kinacho kutofautisha na wengine ni juhudi,Katika kuweka juhudi lazima uongeze muda zaidi wa kulifanya jambo hilo kwa muda mwingi yaani kurudia rudia zaidi.
   Ukiwa kaa na watu wanao yatafuta kwa njia zote mafanikio utagundua wanajuhudi kubwa katika shughuli zao na hata wanaudhubutu Mkubwa sana na wasio kuwa na woga hasa linpo kuja swala la kushindwa kwa plan zao,
    Mala nyingi kufeli kwao huwa ni nafasi kubwa na kuongeza juhudi zaidi,Rafiki juhudi ndo mzazi wa matokeo mazuri ya mafanikio.

    Mwisho mafanikio ni haki yetu sote ya msingi lakini zingatia Nidhamu,Uadilifu na Juhudi utakuwa Expect Billionaire wa miaka kadhaa ijayo na pasipo kuzingatia hayo sio rahisi kufika kwako lazima ubadilike.

Tuma neno BIG KEY OF SUCCESSFULL 2017 kwenda 0715222989/errynine6@gmail.com
Uunganishwe na group la WhatsApp kwa mafunzo zaidi  BURE.
Au like page yetu Facebook UFUNGUO WA MAFANIKIO
 
Nikutakie siku njema na yenye mafanikio zaidi ya jana.
    Wako rafiki katika mafanikio
               Ernest Lwilla
  

About Author

Advertisement

Chapisha Maoni

 
Top