Habari rafiki na msomaji wa makala zetu kupitia mtandao huu wa Ufunguo wa mafanikio ni tumaini langu kuwa ni mzima wa afya njema kama ilivyo kwangu.
Rafiki ni siku nyingine nzuri sana kwetu tukiwa kwenye safari hii ya mafanikio na njia pekee ya kutufikisha kwenye mafanikio ni juhudi zaidi.
Rafiki Washindi ni nani? Kwanini wamekuwa washindi? Unatakiwa ufanye nini nawe kuwa mshindi? Haya ni baadhi ya maswali machache yanayo tokana na somo letu.
Washindi ni watu walio faulu mtiani na kuingia hatua nyingine iliyo kubwa,Washindi ni watu wenye mitizamo chanya inayo enda sambamba na vitendo zaidi,Ushindi sio kitu rahisi ndo maana washindi ni machache sana ukilinganisha na watu wanao shindwa kila siku katika juhudi zao.
Hakuna mtu anae kuwa mshindi pasipo kushinda vikwazo na kukatishwa tamaa,Hakuna mshindi ambaye kashinda bila magumu kuupata ushindi wake.
Rafiki ushindi sio zawadi,Ushindi sio ajali,Ushindi sio bahati mabaya ndo maana watu wanao penda sana neno Sorry nyingi sio washindi katika maisha yao washindi ni watu wanao fikili vitu ambavyo ni vikubwa na vyenye kuogopwa na watu wengi,Washindi ni wadhubutu wa kaila jambo,Washindi ni watu wanao penda kujifunza zaidi,Washindi ni watu wasio kubali kushindwa kiurahisi,Washindi ni watu wasio penda kupoteza muda wao.
Ili uwe mshindi lazima ujikane ndani yako,Lazima ukubali kudharaulika na wengi,Lazima ukubali kuumia,Lazima ukubali kishindwa,Lazima uwa tafute washindi walipo ndipo wakuambukize ushindi walio nao kifikra na kivitendo hati Mae nawewe uwe mshindi.
Rafiki ukipata muda na kusikiliza maongezi ya washindi wengi utaona kama ni maigizo kwa sababu wanakuwa na mambo makubwa ambayo mala zote haya endani na walivyo.
Ikiwa sikiliza unaweza kuumia sana akili na usione wapi pakuanzia hivyo ni lazima uwe karibu nao zaidi ndipo uanze kuona uwezekano wa wewe kuwa mshindi.
Rafiki tazama washindi walipo nawe uketi hapo kama unataka kuwa mshindi hats baada ya kujua mengi kuhisiana na ushindi wao unatakiwa kuchukua hatua kidogo kidogo kisha kujikiza hadi kufikia hatua hiyo,
Hatua hiyo lazima ikupe nafasi ya kuwauliza unapo kwama kisha kufuata ushauri wao nasi kuwatafuta watu ambao sio washindi na kuwauliza watakukatisha sana tamaa na kuona unacho kifanya hakiwezekano.
Rafiki share mawazo na washindi, kaa na washindi kisha fanya kama wanavyo fanya washindi hao lazima muda mfupi tu utakuwa nawe na ushindi ndani yako utakao washangaza wengi yaani kifupi badilisha hata aina ya marafiki ulio nao sasa hasa wanao fikili vidogo vidogk,wanao fikili kishindwa kila wasaa,wanao fikiri udhaifu wao kuliko mazuri waliyo yafanikisha.
Natumaini tayari unaushindi ndani yako sasa anza vitendo zaidi.
Tuma ujumbe BIG KEY OF SUCCESSFULL2017 Kwenda 0715222989/Email;errynine6 @gmail.com
Uunganishe na group la WhatsApp kwa mafunzo zaidi BURE.
Pia unaweza kulike page yetu Facebook UFUNGUO WA MAFANIKIO.
Nikutakie siku njema sana na yenye mafanikio zaidi ya jana.
Ni wako rafiki katika mafanikio
Ernest Lwilla.
Chapisha Maoni