Habari rafiki na msomaji wa makala kupitia mtandao huu wa Ufunguo wa mafanikio,Ni tumaini langu kuwa ni mzima wa afya njema kama ilivyo kwangu.
Rafiki karibu tujifunze pamoja njinsi ya kuikuza pesa ndogo ili kuwa kuhaiwezekani,a hatimaye kuwekewa mipango mikubwa ya kimalengo.
Ukweli ni kwamba pesa unayo ipata Mara kwa mara mala nyingi huwa ni ndogo ndogo lakini kwa kuikusanya unakuta unakuwa na pesa nyingi mkonono amabyo hutumia kwa matumizi mbali mbali ya kifamilia lakini ukiwa katika matumizi hayo bado unakuwa na pesa ambayo ni ndogo zaidi Mfano:Umetoa noti ya shilingi 5000 mahitaji yako yanaghalimu sh 4,200 Je mia 800 inayo baki unafanyia nini?
Binafsi nilijipa tabia ya kuifanya hela ndogo ndogo yoyote kuipeleka kwenye akiba Mfano 100,200,300 hadi mia 500 ila isiwe noti kuiweka kwenye sehemu tofauti na mauzo yangu na hivyo kwa wiki nilijikuta kukusanya Tsh 11000 hadi 15000 hii ni kwa wiki,Hivyo nika gundua pesa nazo zikamata kwa udogo ni nyingi zaidi lakini kwasababu ya dharau ya udogo wake naipoteza bila mpangilio woweote,Hivyo mapaka sasa Malengo yangu ya wiki kati ya malengo hayo kuhili la Elfu 15000 ya ziada Ukweli ni pesa ambayo inakuwa ndogo ndogo sana lakini usijaribu kabisa kuipuuza hivyo Mimi kwa Mwezi nakuwa na 60000 ya ziada.
Rafiki ebu jaribu kuliona hili kisha angalia wewe pesa kama ndogo ndogo una kamata mala ngapi kwa siku? Unaweza kuona unanizidi na mimi ila kwa sababu huja chukua hatua dhidi ya kuifanya akiba lazima uone haiwezekani lakini ukweli inawekana kabisa lakini ikiwa utakuwa na nidhamu na pesa yoyote ndogo unayo ipata.
Wapo wengi huwa wanaheshimu sana pesa kubwa pasipo kutambua kuwa pesa kubwa inatokana na nidhamu ya pesa ndogo,Hakuna billionaire alie zaliwa na pesa ila ni nidhamu tu na kuitunza pesa ndogo kisha kukua zaidi.
Ukifatia zaidi utagundua watu wa chini ndio waharibu zaidi wa pesa kuliko matajiri ambao kwa sehemu kubwa wana nidhamu na pesa yao yaani hawana vitu vinavyo wapotezea pesa yao ndogo ndogo.
Ni muhimu kila wakati kjua kuwa 100 ni mzazi wa 1000 na 1000 ni mzazi wa 10000 hali kazalika 10000 ni mzazi wa 100000 na hivyo usitegemee kupata 1000 pasipo 100 wala 100000 pasipo 10000 na mtiani mkubwa ni kumiliki pesa ndogo kwa maana pesa kubwa inajitunza na kujileo ikiwa unajua jinsi ya kuizungusha ili iweze kukua,Mila na desturi zetu wengi hatuja funzwa kuweka akiba iliyo nje na matumizi nini maana yake yaani tumefundishwa kutumia bila kuweka akiba na huwezi kuweka akiba kubwa kama huwezi kuweka ndogo.
Rafiki ni tumaini langu kuwa utaenda kulianza zoezi hili ili kutunza akiba yako muhimu kabla hujaanza zoezi hili Jiweke mbali na matumizi yoyote ambayo sio ya lazima kwako ambayo mala zote uwa uanelekeza pesa ndogo ndogo.
Tuma ujumbe BIG KEY OF SUCCESSFULL 2017 kwenda 0715222989/Email;errynine6@gmail.com
Uunganishwe na group la WhatsApp kwa kujifunza zaidi BURE.
Au unaweza kulike page yetu Facebook Ufunguo wa mafanikio
Nikutakie siku njema sana rafiki yangu
Ni wako rafiki katika mafanikio
Ernest Lwilla
Chapisha Maoni