Unknown Unknown Author
Title: TATIZO SIO MTAJI,TATIZO NI WOGA WA KUTHUBUTU.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
     Habari rafiki na mwanamafanikio kupitia ukulasa huu wa Ufunguo wa mafanikio,Nitumaini langu kuwa ni mzima wa afya njema kama ilivyo kwa...

     Habari rafiki na mwanamafanikio kupitia ukulasa huu wa Ufunguo wa mafanikio,Nitumaini langu kuwa ni mzima wa afya njema kama ilivyo kwangu.
    Rafiki ni siku nyingine nzuri sana kwetu Mimi na wewe ikiwa tutaitumia vizuri na kufanya chochote kitakacho leta mabadiliko chanya kwa maisha ya baadae,

   Nikukaribishe kwa moyo mkunjufu kujifunza somo letu *Tatizo sio mtaji,Tatizo ni udhubutu*, Hakika mtaji mala zote si tatizo taizo ni roho ya woga wa kudhubutu kufanya  na hii imepelekea watu wengi kuto fanya chochote kwa kisingizio cha sina mtaji,

   Binafsi naona mtaji sio tatizo kabisa katika kuanza Biashara au shughuli yoyote katika maisha kwani Pesa sio mtaji  ni wewe,
   Kwasababu mtaji wa kwanza ni Akili ambazo 99.99% binadamu wote wote tumepesa,Mtaji wa pili ni
Wazo,rafiki hakuna mtu asie waza hata mtu ambae ameharibikiwa akili anawaza ndo maana unakutana nao barabarani wakifanya vingi wanavyo viwaza,
Mtaji wa tatu ni Muda,Watu na vingine vingi ambavyo kila mmoja wetu anavyo tofauti ni vitu tunavyo fanya katika vitendo.

   Pesa ni finishining ambayo ni hatua ya mwisho katika kuanza Biashara yoyote hivyo ukiwa na wazo tumia muda na nguvu kukusanya pesa kiasi ya kianzio cha wazo lako.
Watu wengi sabaubu hii ya mtaji huja kwasababu tuu mala zote wanafikiria kuanza Biashara na pesa nyingi kumbe ukweli unatakiwa kuanza na kidogo kisha kidogo hicho kukikiza na kuwa kikubwa.

   Hii ina wakatisha tamaa wengi sana mfano Mtua hategemei kuanza na elfu 10000 ambayo anayo ila anafikili kuanza na 1000000 ambayo hana na akiitoa hiyo hela kwa elfu kumi anaona kabisa ni swala ambalo haliwezekani katika maisha yake kumbe tatizo ni woga na dharau ya kuona kuilea 10000 hadi kufikia 1000000,
   Iv ulisha wai kuuliza watu katika Biashara zao walianza na shingapi?
Na wamewezaji kufikia walipo?
      UKWELI
Hata ikitokea mtu akakupa kiasha kikubwa cha pesa na hata muda mwingine kukufungulia biashara nzuri lakini ndani ya miezi kadhaa itafungwa kwasabu awali ili ulikuwa huna hutaji na umepesa mtaji pasipo kutafmengi.

    Rafiki acha kulalamika chukua hatua itakayo kusogeza kwenye hatua ya kupata Elfu 10000 kisha kusogea 100000 na baadae kuwa na mtaji Mkubwa zaidi wa biashara nzuri ambayo itakufanya kufikia mafanikio yako,
   Rafiki wakati sahihi wa wewe kutoka ulipo ni sasa ukiwa utaamua kutoka ulipo na kama huto amua utabaki kuona wengi wakijenga,Wakinunua magari ya ndoto zao na mengine mengi.

    Tuma neno BIG KEY OF SUCCESSFULL 2017 kwenda 0715222989,Email:errynine6@gmail.com
Uunganishe na group la WhatsApp kwa mafunzo zaidi BURE
Pia unaweza kulike na kushare page yetu Facebook Ufunguo wa Mafanikio

Karibu sana na nikutakie siku njema na yenye mafanikio zaidi

   Wako rafiki katika mafanikio
Ernest Lwilla

  

About Author

Advertisement

Chapisha Maoni

 
Top