Habari na karibu rafiki mpenzi msomaji wa makala zetu kupitia mtandao huu wa Ufunguo Wa Mafanikio,
Nitumaini langu unaendelea vema na shughuli uliyo ichagua na kuifanya kwa moyo wako wote.
Kwa siku hii ya leo nimependa tushirikishane mambo haya mawili muhimu tunayo takiwa kuyajua kabla hatuja anza wala kuchukua hatua juu ya wazo lolote la biashara au fursa kama ilivyo zoeka na watu wengi.
Ipo dhana ya kundi kubwa la watu kuingia au kuanza biashara ambayo mala zote huona upande mmoja tu,
Lakini biashara inapande zaidi ya moja hivyo yapo mambo mawili muhimu unayo paswa kuya fahamu kabla hujaanza boashara hivyo hata inapo tokea unakuwa na uelewa wa mambo haya.
Mambo mawili makubwa unayo takiwa kuya fahamu kabla hujaanza biashara ni kuwa Biashara yoyote ina FAIDA NA HASARA,
Hivyo kwa kutambua sehemu hizi muhimu ni vema ukafahamu vema kabla hujaanza biashara yoyote na hata ukiwa katika utafutaji wa taarifa zilizo sahihi usiulize Upande mmoja tu na kuondoka ukijua unataarifa sahihi,
Utapoteza muda wako na nguvu zako nyingi bila kupata hitisho la tamanio lako.
Faida,Hii ni sehemu pekee inayo pendwa na watu wengi,Ni sehemu inayo pepelewa kwa sehemu kubwa Mtu kabla hajaingia kwenye biashara yoyote jambo la kwanzo ni kuuloza faida ya jambo analo taka kifanya.
Pia imekuwa ikitokea mkwaluzo pindi mtu anapo jaribu kutoa uwepo wa hasara kwenye biashara yoyote hii ni kwa sababu watu wengi wanapenda kusikia neno faida kwenye kila biashara na faida inayo zingitiwa ni moja tu Fedha inayo patikana juu ya pesa ya kununulia huduma.
Licha ya hivyo watu wengi huhesabu faida ya fedha pekee na sio zingine ambazo ndizo nyingi zaidi kuliko fedha.
Hivyo unatakiwa kuzifahamu uwepo wa faida nyingi zaidi ya fedha kwenye chochote unacho dhani ni sahihi wewe kufanya kwenye biashara yako,
Penda kupata zaidi ya Faida inayo patikana kwenye fedha.
Hasara,Hii ndiyo sehemu isiyo pendwa kusikiwa na watu wengi lakini ukwi hakuna biashara isiyo kuwa na hasara,
Hasara mdiyo sehemu kubwa ya biashara ingawa haitokei kila mala kwenye biashara za watu wengi ndiyo maana haijazoeleka kama ilivyo faida.
Mfano:Unaweza kuwa na biashara inayo kuzalishia faida 1000 kila unapo uza na ukauza kwa zaidi ya miezi 10 kwa kupata faida hiyo lakini linapo kuja swala la hasara linaweza kuathiri faida ya 1000 kwa miezi sita na kughalimu hata mtaji mala nyingine.
Hii ndiyo sababu inayo fanya wengi kuitizama hasara kwa ubaya huku wengi wakipenda kupata faida pekee.
Rafiki hasara ni kitu ambacho hakikwepeki ikiwa biashara yako utaifanya kwa mazoea,
Hasara unapaswa kuichukulia kama uamsho wa biashara yako na hivyo kuwa kama sehemu ya hamasa ya biashara yako kuendelea kusonga mbele zaidi.
Mwisho kabisa niweze kukumbusha juu ya faida inayo fikiriwa na wengi ambayo ni Fedha pekee lakini ukiacha faida ya fedha yapo mambo mengi ambayo unaya pata kutoka kwenye biashara yako.
Mfano:Unajifunza kuishi na watu,Kuaminiwa na watu utakao fanya nao biashara,Kupata watu sahihi zaidi,Kupanua Maarifa kibiashara na mengine mengi ambayo yanasaulika na wengi na kuto hesabiwa kama faida ya biashara.
Pia huwezi kupiga hatua yoyote kwenye biashara pasipo changamoto hivyo unapo pata hasara ichukulie kama ni sehemu ya changamoto ambazo daida tunapambana nazo na hatupaswai kushindwa zaidi ya kishinda siku zote.
Tuma ujumbe BIG KEY OF SUCCESSFULLY2017 kwenda 0715222989/Email.errynine6@gmail.com
Uunganishwe na group la WhatsApp
BURE.
Rafiki nikutakiesiku njema na yenye mafanikio zaidi.
Na wako rafiki katika mafanikio
Ernest Lwilla.
Chapisha Maoni