Unknown Unknown Author
Title: Hii Ndiyo Nafasi Ya Mwisho Kwako Kwa Mwaka 2018.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Salamu kwako rafiki na msomaji wa mtandao huu wa Ufunguo Wa Mafanikio,Ni imani yangu kubwa kuwa ni mzima wa afya njema kama ilivyo kwangu. ...

Salamu kwako rafiki na msomaji wa mtandao huu wa Ufunguo Wa Mafanikio,Ni imani yangu kubwa kuwa ni mzima wa afya njema kama ilivyo kwangu.

Karibu sana kwenye makala yetu ya leo ambapo ninakwenda kukushirikisha jambo muhimu sana kwako kwa mwaka 2018 ili kuweza kuwa na mafanikio makubwa kwako wewe rafiki yangu.

Nimekuwa nikiitangaza programu maalumu kwa watu maalumu kwa mwaka 2018,
Ambapo nilitoa nafasi chache kwa watu kuweza kufanya kazi moja kwa moja na kuweza kujifunza na kupiga hatua pamoja kwa mwaka 2018.

Wengi wamekuwa wakiniuliza maswali mengi na wengine wakitaka kujua kipindi maalumu cha kuweza kufanya kazi na mimi,
Hapa nitajibu maswali machache ambayo yamekuwa yakiulizwa zaidi kuhusu utaratibu na namna utakavyo nufaika na mpango huu kwa 2018.

1.Kwanini Umetoa nafasi chache za watu kuweza kufanya kazi na wewe 2018?

Kila binadamu anakiwango chake cha kuweza kutoa huduma kwa kiwango kizuri na chenye mafanikio makubwa kwa wanufaika wa mafunzo hayo,
Hivyo kwa kulitambua hili binafsi ili niweze kuwatendea haki watu watakao kuwa tayari ni lazima niwe na kipimo ambacho ninajua nitawahudumia kwa ubora na kutoa thamani kubwa kwake.

2.Je kunaghalama zozote za kutoa ili kunufaika na programu hii kwa mwaka 2018?

Ndiyo!
Kama ambavyo nilikushirikisha kwenye andiko lilo pita kwamba nimekuwa nikitoa maarifa na ushauri wa bure kwa watu wengi sana lakini watu hao hawatumii maarifa hayo,
Ambapo unacho mshauri na kukubaliana sio kile mtu anacho kwenda kufanya.

Hivyo kwa kutoa ghalama za Ada Nimekuwa na watu wanao fanya kwa vitendo na sio kwa kusikiliza na kupuuza.

3.Ghalama za Ada ni Kiasi gani?

Ada ni Tsh 10,000 kwa mwaka mzima tangu siku unayo jiunga kwenye programu hii,
Hii ni sawa na Tsh 834 kwa mwaka mzima ambapo ghalama unayo toa ni ndogo ukilinganisha na maarifa utakayo pata na hatua utakazo piga kupitia programu hii.

Haya ni baadhi ya maswali ambayo watu wamekuwa wakiniuliza mara kwa mara na wengine wakiwa na hofu kubwa kuwa watatapeliwa,
Na wengine kwenda mbali zaidi na kusema wawasisi juu ya kile watakacho kipata kwenye mpango huu.

Ni kweli utakacho kipata ni kikubwa tofauti na fedha unayo itoa na hii nimefanya kwa ajili ya kuwatofautisha watu wanao fanya kwa vitendo na wale wanao jifunza bila kuchukua hatua za kufanyia kazi yale wanayo jifunza.

Hakuna sababu ya kutumia muda mwingi kujifunza pasipo  kufanyia kazi kile unacho jifunza,
Hivyo kupitia program hii nitafanya kazi kwa ukaribu na wanao Fanyia kazi yale wanayo jifunza.

Mwisho kabisa karibu sana kwenye programu hii maalumu kwa mwaka 2018,
Ambapo mpaka sasa zimebaki nafasi chache sana kwako rafiki yangu kuweza kufanya kazi pamoja na mimi.
Kupata maelezo zaidi wasiliana nami moja kwa moja kupitia mtandao wa whasap namba 0715222989.
Karibu sana rafiki.

Na wako rafiki/Kocha & Mshauri wako
Ernest Lwilla
errynine6@gmail.com.
Karibu sana

About Author

Advertisement

Chapisha Maoni

 
Top